nimelazimika kuanzisha thread mpya kuhusiana na suala hili kwa kuwa binafsi bsioni/b kwamba hili ni suala la kisiasa, pili thread iliyopo inamuongelea balozi maajar na jf as if tukio zima lilikuwa kwa ajili yao, tatu wachangiaji wengi ...
Nimelazimika kuanzisha thread mpya kuhusiana na suala hili kwa kuwa binafsi bsioni/b kwamba hili ni suala la kisiasa, pili thread iliyopo inamuongelea Balozi Maajar na JF as if tukio zima lilikuwa kwa ajili yao, tatu wachangiaji wengi ...
Nyie mnachotakiwa mshukuru kuwa rais anawatangazia nchi na kuhusu hao waliompiga mawe ni wahuni tu wa vyama vya upinzania ambao hawapendi kukubaliwa na kupendwa kwa JK hiyo hata bsioni/b kama ni isu kwani hao ni kama nyinyi machizi mnajua ... JK anatuwakilisha jamani si vizuri kumpa madongo inabada tumuunge mkono raisi wetu ili kumpa moyo zaidi hususana kwenye mambo ya maendeleo hebu tizameni hao wafalme wa nchi za kiarabu wanavyosafiri kwenda kwenye ma bvacation/b lakini raia ...